RUGAMBWA GIRLS’S FOUNDATION
Rugambwa Girls Foundation (RGF) is made up of willing and able former students of Rugambwa Girls’ Secondary School who believe in the power of creative collaboration for better future. We are the registered Foundation under Cap. 318 R.E 2002 of Civil Societies and our certificate is No. 5216. Our areas of interest are around building self esteem to young girls through supporting better health care, education, environmental conservation, and imparting entrepreneurship skills. We plan to raise funds and spend it directly to our programs as indicated in our work plans. Based on the fact that Rugambwa has produced many professionals working in different sectors, we hope most of our activities to be done by our members in collaboration with others partners to implement programs on the ground. What began as Aluminaes coming together to support 50 years Jubilee of Rugambwa Secondary School has grew and turned into a Foundation, that contributes to building our nation.
Home » » RGF YAKABIDHI VIFAA VYA KUVUNA NA KUKUSANYIA MAJI YA MVUA ILI KUONGEZA UHAKIKA WA UPATIKANAJI WA MAJI KWA WANAFUNZI

RGF YAKABIDHI VIFAA VYA KUVUNA NA KUKUSANYIA MAJI YA MVUA ILI KUONGEZA UHAKIKA WA UPATIKANAJI WA MAJI KWA WANAFUNZI

Written By RGF on Wednesday, July 28, 2021 | 7:15 AM


Kutoka kushoto ni Dr. Siima Bakengesa (KATIBU RGF), Prof. Faustine Kamuzora (KATIBU TAWALA MKOA), Bi. Kagemulo (Mkuu wa Shule ya Rugambwa) na Bi. Kazimoto (Mwakilishi wa Afisa Elimu Mkoa).  

Tarehe 26 Julai, 2021, Taasisi ya Rugambwa Girls Foundation ilikabidhi SIM TANK (Matenki) tano (5) za kuhifadhi maji.  Kati ya hizo tatu (3) ni za lita 5,000 na mbili (2) ni za lita 10,000 jumla lita 35,000 pamoja na vifaa vya kuvunia maji ya mvua (Gutters) katika shule ya Sekondari Rugambwa iliyoko Mkoani Kagera.

Hii ni katika Kuunga juhudi za kumsaidia mtoto wa Kike katika elimu yake kwa kuondoa kikwazo cha uhakika wa upatikanaji wa maji kwa kuvuna maji ya mvua.  

Msaada huo uliwasilishwa na Dr. Siima Bakengesa ambaye ni KATIBU wa Taasisi ya Rugambwa Girls Foundation na ulipokelewa na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba pamoja na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya  Rugambwa.


 

0 comments :

Post a Comment